Ufafanuzi msingi wa gawa katika Kiswahili

: gawa1gawa2

gawa1

nomino

 • 1

  aina ya ndege wa usiku.

  kirukanjia, mpasuasanda

Matamshi

gawa

/gawa/

Ufafanuzi msingi wa gawa katika Kiswahili

: gawa1gawa2

gawa2

kitenzi elekezi

 • 1

  toa sehemu ya kitu kwa mtu au watu wengine.

  kasimu

 • 2

  piga mafungu.

 • 3

  weka katika sehemu mbalimbali.

Matamshi

gawa

/gawa/