Ufafanuzi wa gawanya katika Kiswahili

gawanya

kitenzi elekezi

  • 1

    weka kitu katika mafungu mbalimbali.

Matamshi

gawanya

/gawaɲa/