Ufafanuzi msingi wa gawio katika Kiswahili

: gawio1gawio2

gawio1

nomino

 • 1

  kipawa alichonacho mtu.

  kipaji

Matamshi

gawio

/gawijÉ”/

Ufafanuzi msingi wa gawio katika Kiswahili

: gawio1gawio2

gawio2

nomino

 • 1

 • 2

  faida wanayopewa wanahisa.

  fungu, mgawo

Matamshi

gawio

/gawijÉ”/