Ufafanuzi wa gazeti katika Kiswahili

gazeti

nominoPlural magazeti

  • 1

    karatasi zilizochapwa kwa ajili ya kutoa habari, agh. hutoka kila siku au juma.

Matamshi

gazeti

/gazɛti/