Ufafanuzi wa gegedu katika Kiswahili

gegedu

nomino

  • 1

    aina ya mfupa ambao huzunguka viungo vya mnyama pale kwenye viungio.

Matamshi

gegedu

/gɛgɛdu/