Ufafanuzi wa gegedua katika Kiswahili

gegedua

kitenzi elekezi

  • 1

    tafuna kitu kigumu kwa nguvu kama vile mfupa au kweme.

Matamshi

gegedua

/gɛgɛduwa/