Ufafanuzi wa gego katika Kiswahili

gego

nomino

  • 1

    jino la kutafunia na kusagia chakula lililoko nyuma ya kinywa.

Matamshi

gego

/gɛgɔ/