Ufafanuzi wa gendaeka katika Kiswahili

gendaeka

nominoPlural magendaeka

  • 1

    nyani dume mkubwa ambaye agh. huenda pweke.

Matamshi

gendaeka

/gɛndajɛka/