Ufafanuzi wa gereji katika Kiswahili

gereji

nominoPlural mareji

  • 1

    mahali pa kutengenezea vyombo vya usafiri k.v. pikipiki, matrekta au magari.

  • 2

    banda la kuwekea motokaa.

Asili

Kng

Matamshi

gereji

/gɛrɛʄi/