Ufafanuzi wa geti katika Kiswahili

geti

nominoPlural mageti

  • 1

    lango kuu la kuingilia au kutokea k.v. uwanja wa michezo, nyumba au gereji.

Asili

Kng

Matamshi

geti

/gɛti/