Ufafanuzi wa geugeu katika Kiswahili

geugeu

kivumishi

  • 1

    -enye tabia ya kubadilikabadilika; -enye tabia ya kubadilishabadilisha mawazo.

Matamshi

geugeu

/gɛwugɛwu/