Ufafanuzi wa geukia katika Kiswahili

geukia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~wa

  • 1

    geuka na elekea au tazama upande fulani.

    ‘Tafadhali geukia upande huu’
    ‘Jaribu kunigeukia’

Matamshi

geukia

/gɛwukija/