Ufafanuzi wa geuko katika Kiswahili

geuko

nominoPlural mageuko

  • 1

    hali ya kubadilika.

    badiliko, geuzo

Matamshi

geuko

/gɛwukɔ/