Ufafanuzi wa ghadhibisha katika Kiswahili

ghadhibisha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    tia ghadhabu.

    kasirisha, chefua

Asili

Kar

Matamshi

ghadhibisha

/ɚaðibi∫a/