Ufafanuzi msingi wa ghafi katika Kiswahili

: ghafi1ghafi2

ghafi1

nominoPlural ghafi

 • 1

  uzito wa kitu pamoja na chombo kilichofungashiwa.

Asili

Kar

Matamshi

ghafi

/ɚafi/

Ufafanuzi msingi wa ghafi katika Kiswahili

: ghafi1ghafi2

ghafi2

kivumishi

 • 1

  -siokuwa na thamani; kisicho safi.

  hafifu

 • 2

  -a kutengenezea kitu kingine.

Asili

Kar

Matamshi

ghafi

/ɚafi/