Ufafanuzi wa ghafla katika Kiswahili

ghafla, ghafula

kielezi

  • 1

    kwa kushtukia; bila ya kutarajia.

    ‘Ghafla mvua ikanyesha’
    ‘Ugonjwa ulilipuka ghafla’
    punde, kititi, vuu

Asili

Kar

Matamshi

ghafla

/ɚafla/