Ufafanuzi wa Ghafuri katika Kiswahili

Ghafuri

nominoPlural Ghafuri

Kidini
  • 1

    Kidini
    jina la kumsifu Mwenyezi Mungu ambalo huashiria sifa yake ya kughofiri kama wanavyoamini Waislamu.

Asili

Kar

Matamshi

Ghafuri

/ɚafuri/