Ufafanuzi msingi wa ghala katika Kiswahili

: ghala1ghala2

ghala1

nomino

 • 1

  jengo la kuwekea na kuhifadhia bidhaa.

  stoo, utaa, bohari

Asili

Kar

Matamshi

ghala

/ɚala/

Ufafanuzi msingi wa ghala katika Kiswahili

: ghala1ghala2

ghala2

nomino

 • 1

  sehemu ya mbegu inayolisha mmea mchanga.

  ‘Ghala ya mbegu’
  kotiledoni

Asili

Kar

Matamshi

ghala

/ɚala/