Ufafanuzi wa ghalati katika Kiswahili

ghalati

nomino

  • 1

    kitu kisicho sahihi.

    uongo

Asili

Kar

Matamshi

ghalati

/Éšalati/