Ufafanuzi wa ghali katika Kiswahili

ghali

kivumishi

  • 1

    -enye bei kubwa; -sio rahisi.

    ‘Chakula ni ghali siku hizi’

Asili

Kar

Matamshi

ghali

/ɚali/