Ufafanuzi wa ghalika katika Kiswahili

ghalika

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kuwa na bei kubwa; kuwa ghali; panda bei.

  • 2

    kuwa adimu.

    adimika

Asili

Kar

Matamshi

ghalika

/ɚalika/