Ufafanuzi wa gharika katika Kiswahili

gharika

nomino

  • 1

    mafuriko ya maji yanayoleta maangamizo.

    ‘Mvua imeleta gharika’
    mafuriko

  • 2

    maangamizo, nakama

Asili

Kar

Matamshi

gharika

/Éšarika/