Ufafanuzi wa ghariki katika Kiswahili

ghariki

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    angamia kwa kufunikwa na maji; jaa maji.

Asili

Kar

Matamshi

ghariki

/ɚariki/