Ufafanuzi wa ghera katika Kiswahili

ghera

nominoPlural ghera

  • 1

    moyo wa kufanya jambo kwa kuogopa aibu iwapo halitafanywa au litashindikana.

Asili

Kar

Matamshi

ghera

/ɚɛra/