Ufafanuzi wa ghofiri katika Kiswahili

ghofiri

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iwa

Kidini
  • 1

    Kidini
    (hutumika kwa Mwenyezi Mungu tu) samehe dhambi.

    ‘Muombe Mwenyezi Mungu akughofirie dhambi zako’

Asili

Kar

Matamshi

ghofiri

/ɚɔfiri/