Ufafanuzi wa ghorofa katika Kiswahili

ghorofa

nomino

  • 1

    jengo lenye nyumba zinazopandana.

    ‘Nyumba ya ghorofa’
    ‘Jengo la ghorofa kumi’

Asili

Kar

Matamshi

ghorofa

/ɚɔrɔfa/