Ufafanuzi wa ghuba katika Kiswahili

ghuba

nominoPlural ghuba

  • 1

    sehemu kubwa ya bahari iliyoingia ndani ya pwani.

    ‘Ghuba ya Ajemi’
    hori, komeo

Asili

Kar

Matamshi

ghuba

/ɚuba/