Ufafanuzi msingi wa ghubari katika Kiswahili

: ghubari1ghubari2

ghubari1

nominoPlural maghubari

  • 1

    wingu kubwa la mvua lililotanda linaloandamana na mngurumo na radi.

Asili

Kar

Matamshi

ghubari

/ɚubari/

Ufafanuzi msingi wa ghubari katika Kiswahili

: ghubari1ghubari2

ghubari2

nominoPlural maghubari

kishairi
  • 1

    kishairi vumbi la vita.

    vumbi

Asili

Kar

Matamshi

ghubari

/ɚubari/