Ufafanuzi msingi wa ghulamu katika Kiswahili

: ghulamu1ghulamu2

ghulamu1

nomino

  • 1

    kijana mwanamume.

    mvulana, barubaru

Asili

Kar

Matamshi

ghulamu

/ɚulamu/

Ufafanuzi msingi wa ghulamu katika Kiswahili

: ghulamu1ghulamu2

ghulamu2

nomino

  • 1

    mzungu wa tatu katika mchezo wa karata.

Asili

Kar

Matamshi

ghulamu

/ɚulamu/