Ufafanuzi msingi wa ghushi katika Kiswahili

: ghushi1ghushi2

ghushi1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~iza

 • 1

  danganya kwa kuiga saini au maandishi ya mtu mwingine.

  bini

 • 2

  changanya kitu fulani na kitu kingine.

Asili

Kar

Matamshi

ghushi

/ɚu∫i/

Ufafanuzi msingi wa ghushi katika Kiswahili

: ghushi1ghushi2

ghushi2

kielezi

 • 1

  bila ya kuzidi wala kupungua.

  ‘Pishi ghushi’
  tosha, akidi

Matamshi

ghushi

/ɚu∫i/