Ufafanuzi wa ghusubu katika Kiswahili

ghusubu

kitenzi elekezi

  • 1

    kishairi nyang’anya kwa nguvu.

  • 2

    chukua kwa nguvu; chukua bila idhini ya.

Asili

Kar

Matamshi

ghusubu

/ɚusubu/