Ufafanuzi wa gia katika Kiswahili

gia, gea

nominoPlural gia

  • 1

    seti ya miduara miwili ya chuma yenye meno yanayofanya kazi pamoja katika mashine, hasa ile seti inayounganisha injini ya gari na magurudumu.

  • 2

    kifaa anachokitumia dereva anapotaka kuongeza au kupunguza kasi ya gari.

    ‘Tia gia’

  • 3

Asili

Kng

Matamshi

gia

/gija/