Ufafanuzi msingi wa gida katika Kiswahili

: gida1gida2

gida1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    mimina polepole kitu cha majimaji kutoka kwenye chombo ili kukitenganisha na masimbi, taka au tope.

    chingirisha

Matamshi

gida

/gida/

Ufafanuzi msingi wa gida katika Kiswahili

: gida1gida2

gida2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    kunywa pombe kwa wingi.

Matamshi

gida

/gida/