Ufafanuzi wa giligilani katika Kiswahili

giligilani

nominoPlural giligilani

  • 1

    mbegu au majani ya mgiligilani yanayotumika kuwa ni kiungo cha chakula ili kutia ladha na hutumika pia kuwa dawa.

Asili

Kar

Matamshi

giligilani

/giligilani/