Ufafanuzi wa gimba katika Kiswahili

gimba

nominoPlural magimba

  • 1

    umbo la kitu au mtu linaloonyesha mjao au unene wake.

Matamshi

gimba

/gimba/