Ufafanuzi wa ginginiza katika Kiswahili

ginginiza, ging’iza

kitenzi elekezi

  • 1

    fanyia mtu jambo asilolipenda kwa kulirudiarudia ili kumuudhi.

Matamshi

ginginiza

/ginginiza/