Ufafanuzi wa gofia katika Kiswahili

gofia

nominoPlural gofia

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    kitu kama gurudumu dogo ambalo huinua na kukaza kamba (henza) ya tanga katika chombo.

Matamshi

gofia

/gɔfija/