Ufafanuzi msingi wa gofu katika Kiswahili

: gofu1gofu2

gofu1

nominoPlural magofu, Plural gofu

 • 1

  mabaki ya jengo lililobomoka, bomoko.

Matamshi

gofu

/gɔfu/

Ufafanuzi msingi wa gofu katika Kiswahili

: gofu1gofu2

gofu2

nominoPlural magofu, Plural gofu

 • 1

  mchezo wa magongo unaochezwa na watu wawili au wanne ambao huingiza mipira katika vishimo.

  ‘Cheza gofu’

 • 2

  mpira mdogo na mgumu unaotumiwa katika mchezo huo.

Asili

Kng

Matamshi

gofu

/gɔfu/