Ufafanuzi wa goga katika Kiswahili

goga

kitenzi elekezi

  • 1

    tokea bila ya onyo.

    shtua

  • 2

    chukiza mtu.

Matamshi

goga

/gɔga/