Ufafanuzi wa gogo katika Kiswahili

gogo

nominoPlural magogo

  • 1

    kipande kikubwa na kinene cha mti ulioanguka au kukatwa.

Matamshi

gogo

/gɔgɔ/