Ufafanuzi msingi wa gole katika Kiswahili

: gole1gole2gole3gole4

gole1 , golegole

nominoPlural magole

 • 1

  kohozi zito linalokwama kifuani kwa mgonjwa.

  kohozi, kamasi

 • 2

  kohozi la nyangumi.

Asili

Khi/Kaj

Matamshi

gole

/gɔlɛ/

Ufafanuzi msingi wa gole katika Kiswahili

: gole1gole2gole3gole4

gole2

nominoPlural magole

 • 1

  kibonge cha afyuni.

Asili

Khi/Kaj

Matamshi

gole

/gɔlɛ/

Ufafanuzi msingi wa gole katika Kiswahili

: gole1gole2gole3gole4

gole3

nominoPlural magole

 • 1

  aina ya mkate kama chapati, agh. hupakwa asali au sukari.

Asili

Khi/Kaj

Matamshi

gole

/gɔlɛ/

Ufafanuzi msingi wa gole katika Kiswahili

: gole1gole2gole3gole4

gole4

nominoPlural magole

 • 1

  mlio wa ndege.

Asili

Khi/Kaj

Matamshi

gole

/gɔlɛ/