Ufafanuzi wa gomba katika Kiswahili

gomba

kitenzi sielekezi

  • 1

    fanya matata kwa kutoa maneno makali.

  • 2

    zoza

Matamshi

gomba

/gɔmba/