Ufafanuzi wa gombakanzu katika Kiswahili

gombakanzu

nomino

  • 1

    majani yanayoota katika mchanga karibu na bahari ambayo huliwa na wanyama.

Matamshi

gombakanzu

/gɔmbakanzu/