Ufafanuzi wa gombana katika Kiswahili

gombana

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    ambiana maneno makali kwa hasira.

    kwaruzana, hasimu, teta

Matamshi

gombana

/gɔmbana/