Ufafanuzi msingi wa gombea katika Kiswahili

: gombea1gombea2

gombea1

nominoPlural magombea

 • 1

  sauti ya mawimbi madogo yakikaribia ufuko.

Matamshi

gombea

/gɔmbɛja/

Ufafanuzi msingi wa gombea katika Kiswahili

: gombea1gombea2

gombea2

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lea, ~sha, ~wa

 • 1

  shindana na mtu ili kupata kitu.

  ‘Wanagombea mpira’

 • 2

  shindania nafasi ya uongozi inayopatikana kwa kuchaguliwa na watu.

  ‘Wengi wamejitokeza kugombea ubunge’
  wania

Matamshi

gombea

/gɔmbɛja/