Ufafanuzi msingi wa gome katika Kiswahili

: gome1gome2gome3

gome1

nomino

  • 1

    ganda la mti.

Matamshi

gome

/gɔmɛ/

Ufafanuzi msingi wa gome katika Kiswahili

: gome1gome2gome3

gome2

nomino

  • 1

    kaka la konokono.

Matamshi

gome

/gɔmɛ/

Ufafanuzi msingi wa gome katika Kiswahili

: gome1gome2gome3

gome3

nomino

  • 1

    fedha, pesa, hela

Matamshi

gome

/gɔmɛ/