Ufafanuzi msingi wa gona katika Kiswahili

: gona1gona2

gona1

nominoPlural gona

  • 1

    aina ya samaki wa maji ya chumvi.

Matamshi

gona

/gɔna/

Ufafanuzi msingi wa gona katika Kiswahili

: gona1gona2

gona2

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~eza

  • 1

    lala usingizi mnono.

Matamshi

gona

/gɔna/