Ufafanuzi wa gonea katika Kiswahili

gonea

kitenzi sielekezi~ka, ~lea, ~sha

  • 1

    kaa pahali papo hapo bila ya kuendelea k.m. mwanafunzi anaporudia darasa hilohilo kwa muda.

    dorora, doda

Matamshi

gonea

/gɔnɛja/