Ufafanuzi msingi wa gonezi katika Kiswahili

: gonezi1gonezi2

gonezi1

nominoPlural magonezi, Plural gonezi

  • 1

    mtu anayesinziasinzia kila anapokaa.

Matamshi

gonezi

/gɔnɛzi/

Ufafanuzi msingi wa gonezi katika Kiswahili

: gonezi1gonezi2

gonezi2

nominoPlural magonezi, Plural gonezi

Matamshi

gonezi

/gɔnɛzi/