Ufafanuzi wa gong’oteza katika Kiswahili

gong’oteza

kitenzi elekezi

  • 1

    sisitiza katika uombaji wa dua.

Matamshi

gong’oteza

/gɔŋɔtɛza/